Bado Watatu – 54 | Mwanaspoti
AKANIULIZA: “Lakini bado umesema wazi kwamba katika uchunguzi wako wa alama za vidole hukugundua kwamba mshitakiwa aliwaua hao watu?”“Uchunguzi mwingine ndio ulionyesha hivyo.”“Mimi nimekuuliza kuhusu uchunguzi wako wewe.”“Mimi sikugundua kama mshitakiwa aliua.”“Asante sana.”Wakili akakaa na kusema kuwa amemaliza maswali yake.Nikiwa nimekaa katika safu ya mbele karibu na meza za mawakili, nilijiambia kwamba wakati mwingine maswali…