Aucho ajibu tuhuma za utovu wa nidhamu Singida BS

BAADA ya uongozi wa Singida Black Stars kutangaza kumsimamisha kwa miezi mitatu Khalid Aucho kwa tuhuma za utovu wa nidhamu na kuchelewa kazini, kiungo huyo raia wa Uganda, ameonekana kujibu kupitia ujumbe aliouchapisha katika ukurasa wake wa Instagram. Taarifa ya Singida Black Stars iliyotolewa leo Februari 27, 2026 na ofisi ya mtendaji mkuu wa klabu…

Read More

Ushindi wampa jeuri Ndayiragije | Mwanaspoti

USHINDI mtamu nyie. Baada ya TRA United kupata ushindi wa mabao 4-1 mbele ya Fountain Gate, kocha mkuu wa timu hiyo, Etienne Ndayiragije amesema matokeo hayo yametoa majibu ya kile alichokuwa anakifanyia kazi uwanja wa mazoezi kwa safu ya ushambuliaji na sasa anarudi kuanza na safu ya ulinzi ili kupunguza uwiano wa mabao ya kufunga…

Read More

Ongezeko Kubwa la Matumizi ya Vita vya Marekani Huongeza Madeni, Ushuru, Mashaka – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Ijumaa, Februari 27, 2026 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Februari 27 (IPS) – Wakati Rais wa Maŕekani Donald Trump anasukuma dunia kwenye vita, matumizi ya silaha yamekuwa yakipanda duniani kote. Vita hupata mgao zaidi wa bajeti, hasa kufaidika na tata ya kijeshi na viwanda inayotawaliwa na…

Read More

Aliyemuua shangazi yake akimtuhumu kwa uchawi, kunyongwa

Arusha. Mahakama ya Rufani imebariki adhabu ya kunyongwa hadi kufa aliyohukumiwa Sami Kisenga baada ya kukutwa na hatia ya kumuua shangazi yake, Holo Kisenga (50) kwa kumkata na panga kichwani na shingoni, akimtuhumu kuwa ni mchawi na amemuua baba yake. Mauaji hayo yalidaiwa kutokea Mei 19, 2019 katika Kijiji cha Nyaligongo, Mkoa wa Shinyanga. Sami…

Read More