Rais wa Yanga na Dar City wakutana na Rais Mstaafu Shein
Rais wa Club ya Yanga Pamoja na Rais wa timu ya kikapu ya Dar City Mussa Mzenji wametembelea kituo cha Assalam Orphans Center kilichopo Zanzibar ikiwa ni Pamoja na kumtembelea Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein huko Nyumbani kwake Zanzibar. Rais wa Yanga Hersi Said pamoja na baadhi ya wadanyakazi wa Yanga wameambata…