Kichanga chatupwa kichakani, chaokolewa na mpita njia
Tabora. Mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na saa chache baada ya kuzaliwa, ametupwa kichakani eneo ya Ipilili, Kata ya Nzega Magharibi, Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, akiwa amefungwa kwenye kiroba. Akizungumza kwa njia ya simu na Mwananchi leo Februari 27, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amethitibisha kutokea kwa tukio hilo, akisema wanaendelea…