Majaliwa: Tuzingatie sheria kwa shughuli tunazofanya, kuabudu

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania wanaofanya shughuli mbalimbali ziwe za kikundi, binafsi au za umma kuzingatia sheria, ikiwemo katika kutekeleza uhuru wa kuabudu. “Tunavyokuja kuabudu, lazima tuzingatie sheria ya uhuru wa kuabudu. Katiba ya Tanzania ibara 19(3) imeweka bayana ufafanuzi wa kuabudu ilimradi hakuna uvunjifu wa amani na sheria za nchi….

Read More

Siku 48 za Dk Slaa mahabusu, asema atarudi Chadema

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi ya jinai na kumwachia huru Mwanasiasa mkongwe, Dk Willibrod Slaa (76), baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza Mahakama hiyo hana nia ya kuendelea na mashitaka dhidi yake. Kwa sasa Dk Slaa atakuwa uraiani kuendelea na mishemishe zake za maisha, baada ya kukaa…

Read More

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa laitaka Israel kukomesha 'uwepo kinyume cha sheria' katika eneo la Palestina linalokaliwa kwa mabavu – Masuala ya Kimataifa

Huku kukiwa na kura zilizorekodiwa za mataifa 124 ya ndio, 14 yakipinga, na 43 yakijiepusha, azimio hilo linaitaka Israel kufuata sheria za kimataifa na kuondoa vikosi vyake vya kijeshi, kusitisha mara moja shughuli zote za makazi mapya, kuwahamisha walowezi wote kutoka katika ardhi inayokaliwa kwa mabavu na kusambaratisha sehemu zao. ya ukuta wa kujitenga ulioujenga…

Read More

Bibi kizimbani, akidaiwa kusafirisha gramu tatu za bangi

Dar es Salaam. Mkazi wa Mbezi Msigani, Salma Said (60), maarufu Nangwe amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka la kusafirisha gramu tatu za dawa za kulevya aina ya bangi. Mshtakiwa amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatatu Desemba 15, 2025 na kusomewa kesi ya jinai na wakili wa Serikali, Cathbert Mbiling’i. Mbiling’i amedai mbele…

Read More

Yanga, Azam fainali FA mechi ya kisasi, vita iko hapa

MWISHO wa ubishi. Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, ndo leo. Ndio, Yanga wanaotetea taji la michuano ya Kombe la Shirikisho nchini, itavaana na Azam katika fainali ya kisasi inayopigwa leo Jumapili kuanzia saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani hapa. Pambano hilo la fainali ya tisa…

Read More

Suala la ulezi wa pamoja baada ya talaka

Katika dunia ya sasa talaka haimaanishi tena mgawanyiko usiokwepeka hasa linapokuja suala la malezi. Kimsingi, mbali ya talaka,  wazazi waliotalakiana wanapaswa kukumbatia mtazamo wa kisasa wa kushirikiana katika kulea watoto wao, hata  kama wanaishi tofauti. Kwa miaka mingi, talaka ilihusishwa na ratiba ngumu za ulezi, mapambano ya kisheria, na mawasiliano ya migogoro. Lakini sasa, familia…

Read More