Aucho asimamishwa Singida BS, Obasogie atuhumiwa kupanga matokeo
Historia ya makipa kutoka Nigeria katika Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea kutokuwa ya kuvutia kufuatia uamuzi wa Singida Black Stars, leo Februari 27, 2026 kumsimamisha kipa Amas Obasogie kwa tuhuma za upangaji matokeo. Obasogie anasimamishwa ikiwa ni takribani miezi 10 tangu kipa mwingine kutoka Nigeria, John Noble kuvunjiwa mkataba na Fountain Gate kwa makosa ya…