Maboresho mifumo ya kodi yanukia
Dar es Salaam. Machungu yanayowakabili wafanyabiashara huenda yakapata mwarobaini, baada ya Serikali kutangaza mpango wa kuunda kamati ya maboresho ya mifumo ya kikodi. Kamati hiyo itakayoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuhusisha wajumbe kutoka sekta ya umma na binafsi, inatarajiwa kuja na mapendekezo yatakayofumua mifumo ya kikodi itakayohusisha sera na sheria. Msingi wa kuundwa…