
Enekia Lunyamila, akiri Mexico ngumu
FC Juarez inayoshiriki Ligi Kuu ya wanawake Mexico, juzi ilikubali kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya Pachuca, ukiwa ni mchezo wa tatu kupoteza kwenye mechi 10 walizocheza za ligi. Chama hilo, ambalo wanatumikia Watanzania wawili, Julietha Singano na Enekia Lunyamila, matokeo hayo yameifanya ishuke hadi nafasi ya tisa kwenye msimamo kutoka ya saba, ikiwa na…