Watatu Wahofiwa Kufariki Ajali Ya Lori – Global Publishers
Takribani watu watatu wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali mbaya iliyotokea leo, Julai 7, 2025, katika eneo la Mtoni Msikitini, Temeke, jijini Dar es Salaam.Ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Toyota Land Cruiser lenye namba za usajili T617 DUL, ambalo lilipoteza mwelekeo na kugonga lori lenye namba T322 AVV, pamoja na Bajaj mbili…