Mama Mariam Mwinyi Atoa Mkono Wa Eid Kwa Wazee Na Watoto Yatima Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi, ametoa Mkono wa Eid kwa wazee na watoto yatima, sambamba na kuwatakia heri na baraka za Sikukuu ya Eid el-Fitr. Mkono huo wa Eid umetolewa Machi 21, 2026, wakati Mama Mariam Mwinyi alipofanya ziara katika vituo vya kulelea wazee…