RC MALIMA AIPONGEZA REA UTEKELEZAJI MIRADI MIKUBWA YA UMEME
………….. đBilioni 7 kuwezesha maeneo 165 ya miji kupata huduma ya umeme Morogoro đMorogoro Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekekezaji wa miradi ya umeme maeneo ya Vijijini na Vitongoji hali iliyopelekea kuchochea uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. RC Malima ametoa pongezi hizo leo…