Chikola ajishtukia mapema Yanga | Mwanaspoti

YANGA inaendelea kujifua kwenye kambi yao iliyopo Avic Town, Kigamboni chini ya kocha Romain Folz, lakini kuna winga mmoja mpya aliyetua klabuni hapo hivi karibuni amejishtukia baada ya kukiangalia kikosi hicho na fasta akaamua kujiongeza mwenyewe ili mambo yawe mepesi. Nyota huyo ni kiungo mshambuliaji aliyetua Jangwani kutoka Tabora United, Offen Chikola amesema kwa namna…

Read More

Straika la CHAN 2024 latajwa Uholanzi

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa la Algeria, Sofiane Bayazid ambaye amefunga mabao matatu kwenye mashindano ya CHAN 2024 ametajwa huko Uholanzi kwa kuhusishwa na Heracles inayoburuza mkia kwenye msimamo wa Eredivisie. Licha ya Algeria kuishia robo fainali kwenye michuano hiyo, Bayazid alionyesha kiwango kizuri kiasi cha kumezewa mate na Heracles ambayo imeanza msimu huu wa…

Read More

Wasira awataka wanachama CCM kuacha makundi

Arusha. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa chama hicho kuacha makundi yaliyotokana na mchakato wa ndani wa chama wa kura za maoni kuwapata wagombea wa ubunge na udiwani. Amesema hayo leo Jumapili, Agosti 31, 2025, alipozungumza na viongozi wa ngazi mbalimbali za CCM jimbo la Arusha Mjini na…

Read More

MOI mguu sawa Afcon 2027

TAASISI ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), imesema iko tayari kwa ajili kutoa huduma kwa wanamichezo watakaopatwa na madhira kwenye mashindano ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Tanzania itakuwa mwenyeji katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 ikiungana na nchi za Kenya na Uganda ambapo maandalizi yanaendelea. Mkurugenzi wa MOI, Dk…

Read More