
DKT SALEM AL- JUNAIBI NA UJUMBE WAKE AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIBIASHARA
:::::: Mwenyekiti wa Chama cha Biashara na Viwanda cha Oman Dkt. Salem Al-Junaibi (Mb) na ujumbe wa Wafanyabiashara wa Oman, amewasili nchini leo, tarehe 7 Septemba 2025, kwa ziara ya siku tano, kuangazia fursa za uwekezaji na biashara za Tanzania, katika sekta mbalimbali. Mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius…