Dkt. Mpango aipongeza Benki ya CRDB kuzindua Hatifungani ya ‘Samia Infrastructure Bond’ kusaidia miradi ya barabara nchini

Dar es Salaam. Tarehe 29 Novemba 2024: Akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdory Mpango ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Hatifungani ya Samia Infrastructure Bond inayolenga kukusanya Shilingi bilioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya barabara za vijijini na mijini zilizochini…

Read More

RC KUNENGE AIPONGEZA MAFIA KUONGEZA VYANZO VYA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI

Na Mwamvua Mwinyi,Mafia Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi. Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani Mafia mkoa wa Pwani. Amesema ,kama kuna vitu ambavyo Mhe.Rais anavisisitiza na kuvitekeleza, halmashauri nyingine zijifunze kuongeza…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa rambirambi huku kukiwa na moto mkali huko California – Global Issues

Moto huo, unaoelezewa kuwa mbaya zaidi katika historia ya jiji hilo, umeteketeza maelfu ya ekari, kuharibu nyumba na kuwaacha wazima moto wakipambana kudhibiti milipuko mingi katika hali ambayo haijawahi kutokea. “Katibu Mkuu ameshtushwa na kusikitishwa na uharibifu mkubwa unaosababishwa na moto unaoendelea kwa kasi,” alisema. MsemajiStéphane Dujarric, katika a kauliiliyotolewa tarehe Alhamisi. Bwana Guterres alitoa…

Read More

Ni Yanga na Red Arrows kwa Mkapa

Ni Rasmi klabu ya Yanga imethibitisha kuwa itacheza na timu ya Red Arrows ya Zambia, kwenye kilele cha Mwananchi Day kitakachofanyika Jumapili Agosti 4, mwaka huu. Red Arrows, mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame 2024) watacheza na Yanga ambayo pia imetoka kutwaa ubingwa wa Toyota Cup Afrika…

Read More