
Samia kuzuru makumbusho, kunguruma bungeni Angola
Angola. Ikiwa leo ni siku ya pili ya ziara ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan nchini Angola yenye lengo la kukuza na kuimarisha zaidi uhusiano wa kihistoria baina ya nchi mbili hizi, asubuhi atatembelea makumbusho ya Antonio Agostino Neto, muasisi wa Taifa la Angola. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Sharifa…