
Watoto ni tunu, tuwaenzi, tuwalinde na kuwatunza
Dar es Salaam. Watoto ni zawadi ya kipekee kutoka kwa Mungu na ni hazina ya jamii yoyote ile. Ndani yao kuna ndoto, matumaini na mustakabali wa kizazi kijacho. Watoto wanapozaliwa, huja na mioyo isiyo na chuki, malengo ya maisha ambayo bado hayajachafuka na uwezo mkubwa wa kujifunza na kuleta mabadiliko. Kwa msingi huo, ni wajibu…