Uhalali Tume ya Matukio ya Oktoba 29 kuamuliwa Machi 6
Dar es Salaam. Wakati Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ikiongezewa siku 42 ili kukamilisha jukumu hilo, Mahakama Kuu imepanga kutoa uamuzi wa shauri la kupinga uhalali wake Machi 6, 2026. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepenga tarehe hiyo,…