JESHI LA POLISI LINDI LAWAKAMATA NG’OMBE 300 WALIOHARIBU MAZAO KIJIJI CHA NAMKATILA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Jeshi la Polisi mkoani Lindi limefanikiwa kukamata zaidi ya ng’ombe 300 katika kijiji cha Namkatila, wilaya ya Ruangwa, kwa kosa la kuharibu mazao kwenye shamba la mmoja wa wananchi wa kijiji hicho. Tukio hili lilitokea tarehe 19 Agosti 2024, na linadhihirisha juhudi za polisi katika kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kutawala katika maeneo ya kilimo…