Wadau wataja suluhisho la foleni majiji makuu nchini
Dar es Salaam. Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega akitafuta suluhisho la foleni nchini, wadau mbalimbali wametoa mapendekezo ya namna ya kumaliza changamoto hiyo inayodidimiza uchumi wa Watanzania. Februari 23, 2026, wakati akizungumza na Jumuiya ya Wanafunzi wa Fani za Uhandisi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Ulega alitangaza zawadi ya Sh10 milioni…