Pacome wa mwisho akifungwa kamba na Manara
NI zamu ya Pacome Zouzoua kufungwa kamba ya viatu na Haji Manara katika utambulisho wa wachezaji msimu huu wa 2025/26 unaotarajia kuanza Septemba 17 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Msimu uliopita Manara alifanya hivyo kwa Stephane Aziz Ki, na pia aliwahi kufanya hivyo kwa Feisal Salum ‘Fei Toto’ wakati huo akiwa Yanga…