MKE WA RAIS MNANGAGWA AWASILI ARUSHA
…………. Mke wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Dkt. Auxillia C. Mnangagwa amewasili jijini Arusha na kupokelewa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb), Naibu Waziri, Mhe. Dunstan Kitandula, baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Sekretarieti ya Shirika la Utalii Duniani. Mhe.Mnangagwa anatarajiwa kushiriki Jukwaa la…