DCEA YAKAMATA KG.4,568 YA DAWA ZA KULEVYA

  Kamishna Jenerali wa Mamlaka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Aretas Lyimo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi Msaidizi Malalamiko kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU ) Thobias Ndaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam. …………………. Mamlaka ya Kudhibiti na…

Read More

Sabasaba mpya ya saa 24 kujengwa kwa ubia

Katika harakati za kuimarisha mazingira ya biashara na kuvutia uwekezaji wa kisasa, Serikali ya Tanzania inatarajia kutumia zaidi ya Sh948.5 bilioni kubadilisha sura ya Uwanja wa Maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere maarufu kama Sabasaba. Uwanja huu ambao kwa miongo kadhaa umehifadhi historia ya maonyesho ya biashara ya kimataifa, sasa unatazamwa kwa jicho jipya jicho la mageuzi, maendeleo…

Read More

‘Wanandoa timizeni wajibu kwa kupeana tendo la ndoa’

Iringa. Tatizo la wanandoa kushindwa kupeana tendo la ndoa limetajwa kuleta madhara kazini kutokana na wafanyakazi wengi kwenda kazini  wakiwa na hasira na chuki zinazotokana na kutoridhishwa kimwili. Mkuu wa dawati la jinsia mkoani Iringa, Elizabeth Swai amesema migogoro mingi inayotokea maeneo ya kazi inatokana na wanandoa kutotimiza wajibu wao wa kupeana tendo la ndoa….

Read More

Ukosefu wa taulo za kike ni changamoto kwa wanafunzi

Ukosefu wa taulo za kike hususani kwa wanafunzi wanaotoka katika kaya masikini ni miongoni mwa changamoto zinazochangia baadhi yao kushindwa kuhudhuria masomo kwa kipindi chote cha hedhi hali inayosababisha baadhi yao kushindwa kufanya vizuri kwenye masomo yao kulinganisha na wengine wenye uwezo. Kufuatia hali hiyo Kampuni ya Beneficia imeamua kutoa msaada wa taulo za kike…

Read More

GCLA YAPATA TUZO MAONESHO OSHA

Watumishi wa Mamlaka kutoka kulia ni Judith Lema, Saile Kurata, Emanuel Lewanga na Benny Migire wakiwa wameshika Tuzo na Cheti cha Mshindi wa Pili baada ya kuibuka washindi wa pili kwenye kipengele cha Shughuli za Kitaaluma, za Kisayansi na Kiufundi katika Maonesho ya Kitaifa ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yaliyofanyika katika viwanja vya…

Read More

Haya ndio matumaini mapya wakazi Kisiwa cha Uzi

Unguja. Baada ya kilio, mateso na kuhangaika kwa muda mrefu wakazi wa kisiwa cha Uzi na Ng’ambwa Mkoa wa Kusini Unguja, sasa wameeleza matumaini mapya baada ya kuanza ujenzi wa daraja lenye urefu wa kilometa 2.2 kuunganisha visiwa hivyo na maeneo mengine. Kwa kawaida wananchi wa visiwa hivyo kuingia na kutoka hutegemea kupwa na kujaa…

Read More

Fei afungukia majukumu mapya Azam

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema sababu za kuanza taratibu kucheka na nyavu katika Ligi Kuu Bara msimu huu zinatokana na namna alivyobadilishiwa majukumu ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Mmoroco, Rachid Taoussi. Fei Toto ambaye msimu uliopita alikuwa akifanya majukumu ya washambuliaji, alifunga mabao 19 nyuma ya kinara Stephane Aziz…

Read More