Mani Gamera anavyoleta mageuzi soka la Zanzibar

BURUDANI ya Soka Zanzibar haitegemei wachezaji pekee wakiwa uwanjani, badala yake hata baadhi ya makocha wamekuwa kivutio kwa mashabiki wa mpira visiwani hapa. Ikitokea timu ina kocha wa aina hiyo, siku ya mechi watu hufika uwanjani si tu kuangalia utaalamu wake, bali hata kufurahia kumwona namna anavyoshangilia baada ya kupata matokeo mazuri. Kocha wa Fufuni…

Read More

Mtumbuka: Ni muda wa kung’ara Tanzania Prisons

BAADA ya kushindwa kung’ara msimu uliopita akiwa na kikosi cha Mashujaa, winga Emmanuel Mtumbuka amesema ni wakati wa kufanya vizuri na kuonyesha uwezo wake baada ya kutimkia Tanzania Prisons ya Mbeya. Mtumbuka aliyedumu Mashujaa kwa mwaka mmoja baada ya kujiunga nayo msimu uliopita akitokea Stand United ya Shinyanga, alishindwa kupata uhakika wa namba na sasa…

Read More

Elimu ya fedha kupitia maudhui yanayopendwa na wengi

Katika utoaji wa elimu, njia na mbinu za kufikisha ujumbe ni jambo la msingi. Zikitumika ipasavyo, husaidia maarifa kupokelewa kwa urahisi na kueleweka kwa kundi kubwa la watu kwa muda mfupi. Vilevile, katika huduma za kifedha, utoaji wa elimu unapata msisitizo mkubwa kutokana na mabadiliko makubwa yanayoendelea katika sekta hii. Ikiwa elimu ya fedha itafungamanishwa…

Read More

Japan Yaanza Kuachia Akiba ya Mafuta Kukabiliana na Upungufu wa Nishati

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi Serikali ya Japan imetangaza kuanza kuachia sehemu ya akiba yake ya kitaifa ya mafuta kuanzia Alhamisi, hatua inayolenga kukabiliana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu usambazaji wa nishati duniani. Tangazo hilo limetolewa na Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao…

Read More

Samia kufungua uchumi ukanda wa kusini

Ruvuma.  Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuendeleza kasi ya utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania, akisisitiza kuwa mafanikio yaliyopatikana chini ya ilani ya mwaka 2020/2025 yamejenga msingi imara kwa ahadi mpya zinazolenga kuleta mapinduzi ya kiuchumi katika eneo hilo. Akizungumza leo Jumapili Septemba…

Read More