
KASULU YAANDAA BONANZA LA MICHEZO KUHAMASISHA UCHAGUZI NA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu, amesema wananchi wanapaswa kujitokeza kwa wingi kushiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru pamoja na Uchaguzi Mkuu ujao, kwani matukio hayo ni ya kitaifa na yanabeba taswira ya mshikamano wa Watanzania. Baadhi ya viongozi na wananchi waliojitokeza kwenye bonanza hilo Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma,…