Sharifa, Glory Tausi warejesha fomu Bawacha

Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku 13 kuelekea uchaguzi wa viongozi wa mabaraza ya Chadema, baadhi ya wagombea wameanza kurejesha fomu. Wagombea waliorudisha fomu ni Sharifa Suleiman anayewania uenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa (Bawacha) na Glory Tausi anayeomba kuwa naibu katibu mkuu wa Baraza hilo bara. Hatua ya wagombea hao kurejesha fomu, inatoa nafasi…

Read More

SGR, historia iliyoleta  matumaini mapya usafiri wa reli

Dar es Salaam. Mwaka 2024 ulipoanza usafiri wa reli ya kati Tanzania, ulikuwa ukikabiliwa na changamoto kadhaa. Reli hiyo inayosimamiwa na  Shirika la Reli Tanzania (TRC),  inatumia  mfumo wa reli ya zamani (MGR) uliojengwa wakati wa ukoloni. Miongoni mwa changamoto ni kasi ndogo, hivyo kuchukua muda mrefu kwa abiria na mizigo kusafiri kati ya miji…

Read More

Kesi ya dada wa kazi: Mdhamini ayatimba, aswekwa mahabusu

Dar es Salaam. Mahakamani hakujawahi kuisha vituko, ndivyo unavyoweza kusema. Basi sikia kisa hiki ambacho kimefanya watu waliokuwa ndani ya ukumbi namba mbili wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, kucheka na wengine kuduwaa. Hii ilikuwa baada ya mmoja wa wadhamini aliyefika katika mahakama kumwekea dhamana mshtakiwa aliyedai ni mtoto wa dada yake, kuzua sitofahamu wakati…

Read More

JKT Queens mzigoni tena | Mwanaspoti

MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens leo wanashuka tena uwanjani kusaka tiketi ya kwenda nusu fainali ya michuano ya Klabu Bingwa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) watakapowakabili Yei Joint Stars kutoka Sudan Kusini. Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex uliopo jijini Nairobi, Kenya ikiwa ni mechi ya mwisho…

Read More

Sarafu za kidijitali bado yaipasua kichwa Serikali

Dodoma. Wizara ya Fedha imesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inaendelea kufanya utafiti kuhusu uanzishwaji na matumizi ya sarafu za kidijitali za Benki Kuu (Central Bank Digital Currency).Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 27, 2024 na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile.Dk Ndugulile amehoji Serikali…

Read More