
Morocco: Wale Niger tutamalizana nao vizuri tu
KOCHA wa timu ya Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesema kikosi hicho kina nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026, dhidi ya Niger itakayopigwa Septemba 9, kwenye Uwanja wa New Amaan Zanzibar. Kauli ya kocha huyo inakuja baada ya timu hiyo kushindwa kuwika juzi ugenini kufuatia kulazimishwa sare…