Othman aahidi elimu itakayojenga ushindani Zanzibar
Unguja. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, amesema mfumo wa elimu utakaoundwa na serikali ya chama hicho utawezesha wanafunzi wa Zanzibar kushindana na si kuwa wasindikizaji. Amesema ACT-Wazalendo ikishika madaraka katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 imedhamiria kuhakikisha Zanzibar inakuwa Taifa lililoelimika ili kuendana na hali ya…