Wiki ya Wananchi, kishindo cha vaibu

KILELE cha wiki ya Mwananchi kimehitimishwa kwa kishindo, huku kila shabiki akitoka meno nje akitamba mambo freshi na msimu mpya uanze. Yanga ilifanya tamasha hilo leo ambapo kilele chake kilikuwa palepale Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam na mashabiki wa klabu hiyo kufurika kwa wingi. *Vinywaji kibao*Mapema tu ilikuwa mashabiki wakiwa wanaingia uwanjani,…

Read More

Wanakagera waibebesha CCM kero ya Nida

Bukoba. Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Kagera wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) kuingilia kati suala la upatikanaji wa vitambulisho vya Taifa (Nida) kwa maelezo kuwa upatikanaji wake umekuwa changamoto, hali inayosababisha wakose fursa mbalimbali ikiwemo mikopo kwa vijana. Maombi hayo yamewasilishwa na wakazi hao pamoja na viongozi wao kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na…

Read More

Fountain yanasa beki Mrundi | Mwanaspoti

UONGOZI wa Fountain Gate uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kati wa Namungo raia wa Burundi, Derrick Mukombozi, baada ya nyota huyo kuafikiana maslahi binafsi na mabosi wa kikosi hicho. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa kikosi hicho zimeliambia Mwanaspoti, Mukombozi amekubali maslahi binafsi na tayari amepewa mkataba wa…

Read More

WAZIRI WA FEDHA AZIKABIDHI TUZO ZA UBUNIFU ZA TRA

::::::: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi.  Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar ameipongeza TRA kwa kuja na Tuzo hizo…

Read More