KAYA 980 KUUNGANISHWA NA MTANDAO WA GESI ASILIA – TPDC
–Serikali kupitia TPDC imetenga Shilingi Bilioni 5.3 kwa ajili ya mradi huu -Gesi asilia ni rafiki wa mazingira, nafuu na salama –Wananchi wa Kata ya Mnazi Mmoja, Lindi wapewa elimu kuupokea mradi. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuanza utekelezaji wa mradi…