
CCM YAITISHA MKUTANO KIDIGITALI
………… Na Ester Maile Dodoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitisha mkutano mkuu maalum kwa njia ya mtandao kesho Julai 26 huku ajenda kuu ikitajwa kuwa ni marekebisho madogo ya Katiba. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi na Mafunzo Amos Makala, amesema hayo leo Julai 25, jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi…