
JIMBONI KWA CHONGOLO NI FULL VIBE WAKIMSURI MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA SULUHU HASSAN
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Makambako YAANI ni full vibe… ni shangwe tu kwa wananchi wa Makambako!Ndivyo unavyoweza kueleza wakati mamia ya wananchi wakiwa wamejitokeza katika mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa CCM Dk.Samia Suluhu Hassan Katika mkutano huo ambao unafanyika mapema asubuhi ya leo Septemba 6,2025 wakimsubiri mgombea Urais kupitia CCM Rais Dk.Samia Suluhu Hassan…