Vyakula Vya Kula Kwa Mgonjwa Wa Vidonda Vya Tumbo

LEO tutaangazia vyakula vya kuepukwa na wagonjwa wa vidonda vya tumbo lakini pia tutaeleza vyakula vinavyofaa kuliwa na hao wenye matatizo hayo. Ili kupunguza makali au kujiepusha kabisa na ugonjwa huo wa vidonda vya tumbo (ulcers), unapaswa kujiepusha kula vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi. VYAKULA VYA KUEPUKWA Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo…

Read More

Mzenji TMA FC afunguka dili la Yanga

KOCHA wa TMA FC, Mzanzibar Haji Ali Nuhu, amesema hadi sasa hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa kati yake na uongozi wa Yanga, kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha timu za vijana, akiungana na Mohamed Badru, aliyewahi kufanya naye kazi. Kocha, Badru ambaye kwa sasa anasimamia programu ya Yanga Soccer School, iliyozinduliwa rasmi tangu, Novemba 15,…

Read More

Hiki hapa chanzo cha ahaji ajali migodini

Dar es Salaam. Wakati mara kadhaa Serikali ikinyooshewa kidole pale zinapotokea ajali kwenye migodi, Kamishna Msaidizi Wizara ya Madini, Terrence Ngolo amesema ajali hizo haziwezi kuisha kutokana na watu kukiuka maelekezo ya wataalamu. Amesema wakati mwingine ajali hizo hutokea kwa uzembe hasa pale wachimbaji wanapokiuka maelekezo ya tahadhari yanayotolewa na wataalamu. Ngolo amesema hayo leo…

Read More

Tanzania kudhibiti kemikali hatari za dawa za kulevya

Nashville. Tanzania imeingia makubaliano na nchi zinazozalisha kwa wingi kemikali bashirifu zinazotumika katika utengenezaji wa dawa za kulevya ili kupunguza athari kwa vijana. Hayo yamesemwa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo ambaye ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa 39 wa Kimataifa wa Mapambano Dhidi…

Read More

Dk Tulia aahidi kuanza na vipaumbele 15 Jimbo la Uyole

Mbeya. Mgombea ubunge wa Jimbo jipya la Uyole kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Tulia Ackson, ametaja vipaumbele 15 ambavyo amesema vitabadili taswira ya Uyole ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa halmashauri mpya itakayojitegemea kimapato. Ametoa kauli hiyo jana Jumamosi, Septemba 13, 2025, katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika Shule ya Msingi Hasanga,…

Read More

Gamondi, Maximo uso kwa uso Kagame

KWA mara ya kwanza makocha, Marcio Maximo wa KMC na Miguel Gamondi wa Singida Black Stars watakutana Ijumaa ya Septemba 12 katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Cecafa Kagame baada ya kila mmoja kutinga kibabe hatua hiyo. Makocha hao wenye historia ya aina yake kwenye soka la Tanzania, wameziongoza klabu hizo…

Read More