
Walioingia kwenye mfumo wa Mfaransa Yanga watajwa!
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kwa mazoezi kambini Avic Town, Kigamboni chini ya kocha Romain Folz kikijiandaa na msimu mpya wa mashindano wa 2025-26, huku kocha huyo akiwa amelainishiwa mambo, licha ya kuwakosa zaidi ya wachezaji 10 walioitwa katika timu za taifa. Yanga…