TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa dini ya kiislam alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika baraza la Maulid Kitaifa linalofanyika, Korogwe mkoani Tanga, Septemba 05, 2025. ……………………. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na viongozi wa Taifa hilo. Amesema…