Benki ya Stanbic Tanzania yafuturisha wateja wake

 Katibu wa Baraza la Ulamaa Taifa, Sheikh Hassan Chizenga akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Stanbic, Manzi Rwegasira katika Iftar iliyoandaliwa na benki hiyo jana katika Hoteli ya Serena. Kushoto ni Fredrick Max, Ofisa Mkuu Idara ya biashara benki ya Stanbic na kulia ni Omari Mtiga, Mkurugenzi wa wateja binafsi benki…

Read More

Udhaifu wa ushahidi wawachia huru walimu wawili kesi ya mauaji

Geita. Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Geita imewaachia huru walimu wawili waliokuwa wakikabiliwa na shitaka la kuua bila kukusudia, baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha kesi yao pasipo kuacha shaka. Hukumu hiyo imetolewa leo Mei,19,2025 na Jaji wa Mahakama hiyo Griffin Mwakapeje na kueleza kuwa ushahidi uliowasilishwa haukuweza kuthibitisha kama walimu hao walihusika moja…

Read More

Usiyoyajua kuhusu ya msitu wa Galanos Tanga

Tanga. Msitu wa Galanos umebeba siri nyingi. Umekuwa ni msitu wa giza ambao unaficha maovu ya watu na kuibua hofu kwa wananchi wanaouzunga. Matukio ya mauaji yamekuwa yakifanyika ndani ya msitu huo na wakati mwingine miili ya watu au wanyama waliouawa ikitupwa humo, jambo ambalo limekuwa likiongeza hofu kwa wakazi wa maeneo ya jirani. Msitu…

Read More