Wanne familia moja wafariki dunia, madaraja yakatika
Dar/mikoani. Mvua zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali, zimeendelea kuleta madhara ikiwemo kusababisha vifo vya watu wanne wa familia moja na kukata mawasiliano ya upande mmoja kwenda mwingine. Mwenendo wa hali ya mvua unadaiwa kusababisha vifo vya watu wanne familia moja wanaoishi Mtaa wa Goroka Tuangoma wilayani Temeke, Dar es Salaam waliodondokewa na ukuta wa nyumba…