
JKT Queens yaanza kibabe CECAFA Women
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA kwa Wanawake ya kuwania tiketi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa JKU Princess mabao 5-0 kwenye mchezo wa Kindi C. Mechi hiyo imepigwa mchana huu kwenye Uwanja wa Ulinzi Complex Kenya ambako mashindano hayo yanaendelea kufanyika kuanzia jana hadi…