Mizani zakwamisha uuzaji pamba, wakulima hawaelewi
Simiyu. Wakulima wa pamba wilayani Meatu mkoani Simiyu, wamelalamikia kusitishwa kwa shughuli za ununuzi wa zao hilo hatua iliyozua sintofahamu na kilio miongoni mwa wananchi wa wilaya hiyo. Hatua hiyo imekuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu mizani zinazodaiwa kupunja wakulima kwa makusudi hivyo kupelekea Wakala wa Vipimo (WMA) kuchukua mizani kwa ajili ya uchunguzi….