Othman: Nitatekeleza ahadi zangu kabla sijaulizwa
Pemba. Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema masuala yote aliyoahidi Wazanzibari ikiwemo ajira, majibu yatapatikana ndani ya muda mfupi kabla hawajamuuliza utekelezaji wake. Ahadi nyingine ambazo Othman amekuwa akiziahidi katika mikutano yake ya kampeni visiwani humo ni pamoja na masilahi bora kwa wafanyakazi, uwezeshaji, katiba mpya, kurejesha heshima…