DK. SAMIA ASEMA SERIKALI INAKWENDA KUJENGA BANDARI YA BAGAMOYO
*Asema itakuwa na gati za kisasa na ndefu ambazo zitakuwa na uwezo kupokea meli kubwa *Asisitiza bandari hiyo itajengwa sambamba na eneo maalum la kiuchumi hekta 9800 Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Pwani MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema iwapo Chama hicho kitapata ridhaa…