Video: Serikali Ya Tanzania Yajibu Meli Iliyokamatwa Na Dawa Za Kulevya El Salvador
Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amezungumzia tukio la kukamatwa kwa meli ya FMS Eagle katika nchi ya El Salvador, baada ya kubainika kuwa ilikuwa imebeba shehena kubwa ya dawa za kulevya. Katika ufafanuzi wake, Msigwa amekiri kuwa meli hiyo ilikuwa imesajiliwa nchini Tanzania kupitia upande wa Zanzibar, akisisitiza…