Mashindano ya Kitesurfing kuvutia utalii wa michezo Zanzibar
Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Dk Aboud Jumbe amesema mashindano ya Kitesurfing yanatarajia kuwa chachu ya kukuza utalii wa michezo visiwani humo. Dk Jumbe ameyasema hayo Jumamosi Agosti 24, 2024 akihutubia katika mashindano ya ‘Zanzibar Cup Kusi 2024’ yaliyofanyika Kiwengwa visiwani humo huku yakihudhuriwa na washiriki kutoka nchi…