Madaktari watoa taarifa mpya hali ya Papa Francis
Rome, Vatican. Hali ya kiafya ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, imeendelea kuwa ya wasiwasi baada ya kushindwa kupumua kutokana na makohozi kuziba njia za hewa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Vatican, madaktari walilazimika kutumia mashine kuondoa makohozi hayo na kumuweka tena kwenye mashine ya kumsaidia kupumua. Hata hivyo, licha ya hali…