Ndugu watavunja ndoa kama mtawawezesha
Kuna usemi maarufu kuwa unaweza kuchagua marafiki, mwenza na hata maadui lakini si ndugu. Uwatake, usiwatake, ndugu wapo. Ndugu hatuwatengenezi wala kuwatafuta bali kutengenezewa na wazazi wetu. Hivyo, ndugu haepukiki katika maisha. Hatuna maana kuwa ndugu hawahitajiki. La hasha! Wanahitajika ila si katika kila jambo. Wanahitajika kwenye msaada na uzuri ili si katika hujuma. Leo,…