Rais Samia mgeni rasmi Baraza la Eid

Dar/Geita. Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa awali na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaj Nuhu Mruma, sherehe hizo zitafanyika katika…

Read More

Lishe inavyoathiri hisia, afya ya akili

Watu wengi wanapozungumzia lishe, mawazo huenda moja kwa moja kwenye uzito wa mwili, nguvu za mwili au maumbile ya nje kama vile ngozi, nywele na misuli.  Hata hivyo, kuna upande mwingine muhimu wa lishe ambao haupewi uzito wa kutosha, nao ni ule wa athari zake kwenye hisia na afya ya akili.  Lishe unayokula kila siku…

Read More

Winnie Odinga: Binti wa Raila anayegeuka turufu kwa makundi ODM

Alipojitokeza katika mkutano na waandishi wa habari ulioitishwa na Katibu Mkuu wa ODM anayepingwa vikali, Edwin Sifuna, katika Hoteli ya Panafric jijini Nairobi mwezi uliopita, Winnie Odinga siyo tu alihudhuria mkutano huo, alitikisa kwa nguvu muundo dhaifu wa mamlaka ndani ya chama hicho. Mkutano huo uliofanyika kufuatia kuondolewa kwa utata kwa Sifuna, tayari ulikuwa umevutia…

Read More

Minja kukabili uhaba wa dawa akikinadi Chaumma Jimbo la Hai

Hai. Mgombea mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi chama chake kitatua changamoto ya upatikanaji wa dawa katika hospitali na vituo vya afya nchini, ikiwamo katika Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, kama kitapatiwa ridhaa ya kuongoza nchi. Akizungumza leo Jumanne Septemba 23, 2025  na wakazi wa Bomang’ombe katika mkutano…

Read More

Tembo Warriors kupaa  kuifuata CECAAF

KOCHA wa timu ya taifa ya Walemavu, Tembo Warriors, Ivo Mapunda amesema timu hiyo itaondoka nchini kesho kwenda Bujumbura, Burundi kushiriki mashindano ya Afrika Mashariki na Kati ya Soka kwa Watu wenye Ulemavu (CECAAF). Mashindano hayo yatakayofanyika kwa siku saba kuanzia Septemba 8-14, yamegawanywa katika makundi mawili. Tembo Warriors ikipangwa Kundi B pamoja na Kenya…

Read More

Simama ya Mamdani juu ya mauaji ya kimbari ni muhimu zaidi kuliko mienendo ya kumkamata Netanyahu – maswala ya ulimwengu

Maoni na Mandeep S.Tiwana (New York) Jumanne, Septemba 23, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NEW YORK, Septemba 23 (IPS) – Hakuna kiongozi anayehusika na unyanyasaji wa watu wengi anayefurahia kutokujali zaidi kwenye hatua ya kimataifa kuliko Benjamin Netanyahu. Hii ni kwa sababu ya safu ya kushangaza ya kushawishi ya pro-Israel kwenye vyama viwili vikuu…

Read More

Mgomo wa hospitali unaonyesha ongezeko la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya raia – Global Issues

Hospitali ya kufundishia katika mji mkuu wa Darfur Mashariki, Al Deain, iliguswa mwishoni mwa Ijumaa, hali iliyopungua katika mzozo wa kikatili kati ya Wanajeshi wa Sudan (SAF) na Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) uliozuka Aprili 2023. Kulingana na Shirika la Afya Duniani la Umoja wa Mataifa (WHO), idadi ya watu waliouawa imeongezeka hadi 70,…

Read More

Usafiri kikwazo ufuatiliaji elimu, mwarobaini watolewa

Unguja. Licha ya maendeleo ya elimu kuanza kuimarika Zanzibar, imebainika kuwa ukosefu wa usafiri kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya unashusha ufanisi, kutokana na kushindwa kufuatilia utendaji wa shule, hasa zile zilizopo maeneo ya vijijini. Kutokana na hali hiyo, Serikali imenunua pikipiki 15 kwa ajili ya maofisa wa wilaya na mikoa yote ya Zanzibar,…

Read More

Nani amefeli hapa; mfumo wa elimu au mwanafunzi?

Arusha. Gazeti hili tarehe 20 Agosti mwaka huu lilikuwa na ripoti ya Tamisemi kuhusu elimumsingi (BEST 2025), iliyoonyesha kwamba kuna uhaba mkubwa wa walimu katika shule zetu.  Ilikuwa ripoti ya kusikitisha, hasa ukizingatia kwamba mtoto wetu wa Kitanzania ana haki ya kupata elimu bora kama vile alivyo na haki ya kupata malezi bora. Pia haki…

Read More