
RAIS SAMIA ATOA AJIRA ZA WALIMU 14,648 KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU NCHINI.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa Kuwa Kuanzia tarehe 14 Januari hadi terehe 24 Februari, 2025, usaili wa kada za Ualimu utaendeshwa na Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais (UTUMISHI); Ofisi ya Rais (TAMISEMI); Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia; Wizara ya Afya; Tume ya…