Mawio na machweo ya William Lukuvi: Pumzika Mwana-Ismani

Dar es Salaam. Mwandamizi mkuu amekiacha chumba. Kiti kimoja ukumbini sasa ni tupu. Kitahitaji kujazwa. William Vangimembe Lukuvi, mbunge mwenye uzoefu mkubwa zaidi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amevuta pumzi ya mwisho. Kifo ni hatima ya uhakika kwa binadamu wote, kila mja hugota kwa namna na wakati wake. Mahali roho ya…

Read More

NBAA YASISITIZA USHIRIKIANO NA WANAHABARI

  Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendesha semina maalum kwa wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini, ikiwa na lengo la kutoa elimu, kuongeza uelewa na kuimarisha ushirikiano wa kitaaluma katika kuhabarisha jamii kuhusu majukumu ya Bodi hiyo. Akizungumza katika semina hiyo iliyofanyika jijini Dar…

Read More

Radi yaua wawili Morogoro | Mwananchi

Morogoro. Mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha majonzi baada ya watu wawili kupoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa kwa kupigwa na radi Wilaya ya Kilombero, Mkoa wa Morogoro. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Februari 24, 2026, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama amesema tukio hilo limetokea usiku wa jana Jumatatu Februari 23,2026 katika kitongoji cha…

Read More

Mechi za mtego Kagame hizi hapa

MICHUANO ya Kombe la Kagame inatarajiwa kuendelea tena kesho, Jumapili, kwa mechi mbili kupigwa ambapo Madani itakabiliana na Al-Hilal Omdurman huku Mogadishu City ikipambana na Kator katika mechi zinazotarajiwa kuamua mwelekeo wa kundi C. Katika mechi zao za kwanza katika mashindano hayo yanayohusisha klabu za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati hakuna timu iliyoibuka na…

Read More