CHATANDA ATIMIZA AHADI YA NG’OMBE WAWILI KWA MAGEREZA

……….. Na: Mwandishi Wetu, KOROGWE Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (MCC) na Mbunge wa Viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mary Chatanda, ametimiza ahadi yake ya kutoa ng’ombe wawili wa maziwa kwa Magereza mawili ya wilayani…

Read More

CHAN 2024: Staa Kenya ajifariji

NDOTO ya Kenya kwenye mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani CHAN 2024 imeishia hatua ya robo fainali, lakini kiungo Alpha Onyango ametoa matumaini kwa mashabiki wa timu hiyo. Onyango alibeba tuzo ya mchezaji bora wa mechi ya robo fainali dhidi ya Madagascar na kupoteza kwa mikwaju ya penalti 4-3 baada ya sare…

Read More

Daktari ambaye hakuweza kuacha Goma – maswala ya ulimwengu

Moto wa bunduki ulirarua giza. Usiku baada ya usiku, daktari wa miaka 44 kutoka Guinea alishikilia kwa matumaini kwamba mji uliozingirwa ungeshikilia kwa njia fulani. Halafu, asubuhi moja mwishoni mwa Januari, simu ilikuja: Yeye na wafanyikazi wa kimataifa waliobaki walipaswa kuhamishwa mara moja. “Tulichukua ndege ya mwisho,” alikumbuka. Masaa baadaye, Goma alikuwa mikononi mwa M23….

Read More

Ndayiragije, Gamondi wampa maujanja Ahmad

KOCHA Mkuu wa JKT Tanzania, Ahmad Ally, amesema miongoni mwa makocha bora na wa kisasa anaowatazama zaidi katika Ligi Kuu Bara na kuvutiwa na kazi wanazofanya, ni Mrundi Etienne Ndayiragije wa TRA United na Miguel Gamondi wa Taifa Stars. Akizungumza na Mwanaspoti, Ally amesema Ndayiragije ni kocha mzuri wa kisasa aliyemfundisha mambo mengi tangu wakiwa…

Read More

Wanahabari watakiwa kutumia kalamu zao kuunganisha jamii

Dar es Salaam. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imewataka waandishi wa habari nchini kujikita katika kuimarisha amani, utulivu na demokrasia kupitia kalamu zao ili taifa lipite kipindi hiki cha uchaguzi likiwa na amani. Wito huo umetolewa jana Septemba 22, 2025 na Katibu Mtendaji wa THBUB, Patience Ntwina wakati wa mafunzo maalumu…

Read More

Kihongosi aonya viongozi wanaodhulumu wananchi

Itilima. Mwananchi wa Kijiji cha Lagangabilili wilayani Itilima, mkoani Simiyu, Mzee Majija Madata amewasilisha malalamiko kwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, akidai kudhulumiwa shamba lake na mmoja wa viongozi wa CCM katika ngazi ya wilaya mkoani Shinyanga. Kihongosi yupo mkoani Simiyu tangu Machi 7, 2026 kwa ziara…

Read More

TRAMEPRO – TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MKUTANO WA WADAU WA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA NCHINI TANZANIA

Sisi, Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania, tunapenda kuutaarifu umma pamoja na vyombo vya habari kuwa tumeitikia rasmi mwaliko wa Wizara ya Afya kushiriki katika mkutano muhimu wa wadau wa Tiba Asili na Tiba Mbadala, utakaofanyika jijini Dodoma, Wilaya ya Chamwino, katika Mji wa Serikali Mtumba, tarehe 25 Machi 2026. Tunautambua mkutano…

Read More

Benchikha afungua ‘CODE’ za beki Simba

SIMBA imerudi mazoezini ikiendelea kujipanga hapa nchini, lakini kuna kocha mmoja aliyewahi kuinoa timu hiyo ameshtuka aliposikia usajili wa mido mmoja akisema pale Msimbazi wamepata kamanda matata uwanjani. Kocha aliyezungumza hayo ni Abdelhak Benchikha, ameshtuka kusikia kiungo Alassane Kante amesajiliwa na timu hiyo kisha akakumbuka fasta ilikuwa afanye kazi na Msenegali huyo akiwa Misri. Benchikha…

Read More

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Global Publishers March 4, 2026 0 Comments Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali, vikosi vya usalama vilifanikiwa kuvunja “seli mbili” zilizokuwa zikifanya kazi kwa niaba ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC). Watu saba walidaiwa kupewa jukumu la kukusanya taarifa…

Read More