TANZANIA NA CHINA ZASISITIZA KUKUZA USHIRIKIANO

Serikali ya Tanzania na China zimesisitiza kuongeza ushirikiano wa kimaendeleo kupitia ziara mbalimbali zinazofanywa na viongozi wa juu wa pande zote mbili ili kuimarisha ushirikiano wa kihistoria na kidiplomasia ulioasisiwa na waasisi wa mataifa hayo, Baba wa Taifa Hayati, Mwl. J.K. Nyerere wa Tanzania na Mwenyekiti Mao Zedong wa China. Msisitizo huwa umetolewa wakati Naibu…

Read More

Siri vijana kubweteka, kubagua kazi

Mwanza. Wakati kukiwa na kundi la vijana linalojihusisha na michezo ya kubashiri, kudekezwa kwenye familia, kufuata mkumbo na kuchagua kazi baada ya kuhitimu masomo ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia tatizo hilo. Imeelezwa vijana wengi hujikuta wakiishia kucheza ‘Pool table’, michezo ya kubashiri, kukaa vijiweni na kusubiri wenzao wanaojishughulisha ili wawaombe kitu kidogo, maarufu kugongea….

Read More

Mitambo ya umeme Kidatu na Mtera kufanyiwa ukarabati

Ifakara. Katika kuhakikisha kuwa Umeme unapatikana kwa uhakika Naibu Waziri Mkuu Dk Doto Biteko amesema Serikali imeanza ukarabati wa mitambo ya kufua umeme katika kituo cha Kidatu na Mtera mkoani Dodoma. Dk Biteko amesema hayo leo Jana Mei 31, 2024 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme kwenye gridi ya Taifa  kilichopo…

Read More

MAKAMU WA RAIS DKT MPANGO KUFUNGUA JUKWAA LA KIMATAIFA LA UTALII WA VYAKUKA VYA ASILI,JIJINI ARUSHA.

Na Joseph Ngilisho ARUSHA MAKAMU wa Rais  Tanzania dkt Philipo Mpango anatarajiwa kufungua jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii Wa Vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika linalotarajiwa kufanyika kesho April 23,2025 jijini Arusha Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameyasema hayo leo April 22, katika…

Read More

Planet yaitambia Profile | Mwanaspoti

PLANET imeendeleza moto katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza kwa kuifunga timu ya Profile kwa pointi 49-45 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Mirongo, jijini humo. Katika mchezo huo, John Pastory aliongoza kwa kufunga pointi 26, aliongoza pia kwa kutoa asisti mara 7 na upande wa udakaji (rebounds) alidaka mara 7. Katika mchezo mwingine…

Read More