SICPA Tanzania Marks International Women’s Day with a Heartfelt Donation to Ocean Road Cancer Institute

  Pictured are women employees of SICPA Tanzania at the Ocean Road Cancer Institute in Dar es Salaam, where they distributed essential supplies to cancer patients as part of the company’s International Women’s Day Corporate Social Responsibility (CSR) initiative. This initiative, led by SICPA Tanzania’s General Manager, Mr. Alfred Mapunda, reflects the company’s commitment to…

Read More

Serikali yatangaza ajira mpya 9,483 kada ya afya

Dar es Salaam. Siku mbili baada ya Gazeti  la Mwananchi kuripoti uwepo wa madaktari 3,000, wauguzi 25,000 nchini kukosa ajira, Serikali imetangaza nafasi 9,483 mpya za ajira katika sekta hiyo. Tangazo hilo la nafasi za ajira limetolewa jana Jumapili Julai 7, 2024 na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya…

Read More

Wanawake wahamasishwa kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

Dar es Salaam. Wakati saa chache zimesalia kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, wanahakati wa Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Mabwepande, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wameendelea kuhamasisha ushiriki wa wanawake kwenye uchaguzi. Agness Benedicto, mwanaharakati wa Kituo cha Taarifa na Maarifa cha Mabwepande, ni mfano wa mafanikio ya juhudi hizo ambaye…

Read More

Machungu intaneti bado yauma | Mwananchi

Dar es Salaam. Huenda athari zaidi za kukosekana kwa huduma ya mtandao wa intaneti, zikaendelea kuonekana kutokana na mazingira yanayoonyesha huenda tatizo hilo likachukua zaidi ya siku 10 tangu lilipoanza. Tatizo la kukosekana kwa mtandao huo, zilianza asubuhi ya Mei 12, mwaka huu baada ya kukatika kwa mkongo wa mawasiliano baharini wa SEACOM na EASSy…

Read More

Wasusa kumzika marehemu wakidai ameuawa kishirikina

Njombe Wananchi wa mtaa wa Muungano halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wamegomea kuuzika mwili wa kijana Elisha Nyalusi (35) wakidai kifo chake kimesababishwa na imani za kishirikina huku wakimtuhumu baba yake na kutaka arudishwe akiwa hai. Wananchi hao akiwemo Nickson Nywage,Eliud Mwenda na Salima Mangula wamesema wamegomea kuuzika mwili huo kutokana na vijana…

Read More

Mali zilizotokana na dawa za kulevya kutaifishwa

Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, imetoa tamko la kutaifisha mali za watuhumiwa wanne wa dawa za kulevya zenye thamani ya Sh976.05 milioni ambazo zimethibitika kuchumwa kiharamu kupitia dawa hizo. Kamishna wa mamlaka hiyo, Kanali Burhani Zuberi Nassoro amesema anataifisha mali hizo kwa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 73…

Read More

KURA 7,092 ZA MPA UBUNGE ‘PELE’ JIMBO LA KWAHANI

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akinyanyua juu hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi. Mbunge mteule wa Jimbo la Kwahani Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharib, Zanzibar, Bw.Khamis Yussuf Mussa akionesha hati yake ya ushindi baada ya kukabidhiwa…

Read More